Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
! 1+1= 3Aisee leo nimekutana na kitu cha ajabu sana kwamba mtu akishangilia timu fulani nzuri ndo ana akili na tanzania
Kwa hiyo na wewe umelegea kwa wa crotia?Achana nae huyo mtumwa wa ngozi akiona weusi kalegea.
Ndio ulitaka ulegee kote nikuachie na WaCroatia?Kwa hiyo na wewe umelegea kwa wa crotia?
Huko si kwako umelegea ntakuchomoaje sasa?Ndio ulitaka ulegee kote nikuachie na WaCroatia?
Anaona rangi ndo inachezaAchana nae huyo mtumwa wa ngozi akiona weusi kalegea.
Naona unataka kulegea kote kama utaweza nikupe wakulegeze maana England wamekushindwa.Huko si kwako umelegea ntakuchomoaje sasa?
Aya. Ndo matatizo ya ukoloni yapo adi leoKushabikia ligi hakunifanyi niwe upande wa timu ya taifa ya Wiingereza ila kama ulikuwa unaishabikia kuwa kuna ngozi nyeusi mle basi tambua kuwa kiwango chako cha kufikiri ni kidogo sana na unaweza kupata hata ujinga huko mbeleni kama hautakuwa unatumia vyema akili yako kuwaza kabla ya kuamua.
Hahahaja naona huna point baada ya kuona unaongea pumbaNaona unataka kulegea kote kama utaweza nikupe wakulegeze maana England wamekushindwa.
Point ni kuwa umeolewa au unataka point zipi.Hahahaja naona huna point baada ya kuona unaongea pumba
Kwamba mawazo yafanane
Naona mnatengeneza ka mada kenu mara rangi mara sijui crotia kama ni rangi brazil na ujeruman wangefika hata nusu final au nigeriaAnaona rangi ndo inacheza
Hahaahaha kwisha habari yako ushaanza kuwaza michezo yako ya kuolewa rudi kwenye madaPoint ni kuwa umeolewa au unataka point zipi.
Only time will tell. Tangu niandike kuhusu mashindano haya nimemiss prediction moja tu ambayo ilitokana zaidi na woga wa waswede dhidi ya waingereza. Kwa sasa tusubiri huyo "tumbili aliyekatwa mkia" atasemaje huko mbeleni; ni suku chache tu zimebaki. Kombe linakwenda Ufarnsa kirahisi sana ndani ya Air France. Utabiri wangu hautokani na France kuwa na "wamatumbi" wengi kwani hata Ubelgiji na Uingereza zilikuwa na matumbi pia, ni kutokana na timu inavyomudu mchezo wakiwa uwanjani. Najua kuwa kuna mafisi wengi sana watalia kuona kombe hilo linakwenda ufaransa!Kuna Tumbili huko juu naona anarukaruka kwa kelele nyingi kama kakatwa mkia.
Mzee Mpira sio Biko kwamba hata ukiwa Matumbi unaweza kushinda, mpira ni maandalizi, utayari na juhudi kama unapeleka vitoto Wc unahisi hilo kombe wataliiba?
Kuna watanzania mazezeta sana hivi unatembea njiani unawaza England ichukue ubingwa kweli hiyo si dalili ya Kisonono kuanza kula mtindio wa Ubongo.
Naam mkuu, you are very right, mimi kama shabiki mkubwa wa soka naangalia timu inavyocheza na katika soka ninachoshangilia ni mpira kutinga wavuni. Ninachojali ni matokeo na timu hata kama inacheza vizuri namna gani lakini kama ama hawafungi au hawalindi goli lao wasifungwe basi kwangu haifai. Baada ya leo nakiri timu ya England bado changa na Kombe la dunia wataendelea kuiota tu hadi watakapokomaa.Mkuu, katika uzi huu mapema sana nilisema Croatia ni timu ya fainali
Niliona uchezaji wao ni wa kiwango cha hali ya juu sana
England wakipata goli wanatulia kana kwamba hawahitaji tena kushinda
Ufaransa sikuipa nafasi kama Croatia. Hii timu ni kali sana naona Kombe la dunia likielekea huko
Mashabiki wa London 'it's coming home...' naona hali ni mbaya sana
Uzuri wa ufaransa kama watacheza kwa mchezo wao wa kujaza viungo, hapo wanaweza kuwazuia Croatia, otherwise hii ni timu ya Ubingwa
Michezo ya makundi niliwaita England kama low energy, watu walibeza. Sijui huko waliko hali ipoje. It's over na ni mwaka England ilikuwa na matumaini makubwa sana.
Mkuu,huyo atakuwa mpuuzi aliyebobea.Ila tuseme ukweli ni Mpuuzi pekee ndiye anaweza kufikiri kuwa England wana timu ya kurudi na Kombe London.
Na tena huyo mpuuzi awe amekomaa sana kwenye upuuzi.