Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Viva la Musica
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's coming HOME,
It's coming HOME
Premier League is coming home on your TV next month not the World Cup .Like I Said this WC will go to the Underdog. I want Croatia to win it now.
DonDonald
Nawasalimu tu wakuu
Mandzukic [emoji7][emoji1434]
Mkuu kuanzia hatua ya makundi, wengine tumekuwa tunatathmini timu kwa uchezaji na ushindi, kuna wakati tulikera watu na kuitwa 'hater' lolNaam mkuu, you are very right, mimi kama shabiki mkubwa wa soka naangalia timu inavyocheza na katika soka ninachoshangilia ni mpira kutinga wavuni. Ninachojali ni matokeo na timu hata kama inacheza vizuri namna gani lakini kama ama hawafungi au hawalindi goli lao wasifungwe basi kwangu haifai. Baada ya leo nakiri timu ya England bado changa na Kombe la dunia wataendelea kuiota tu hadi watakapokomaa.
Croatia sio timu ndogo ni wazuri sema miaka ya hivi karibuni walipotea japo hawajawahi kuchukua WCPale ambapo hata mkoloni wa dunia anapoteza Kwa timu ndogo kama Croatia inatutia moyo sisi Africa kuwa kutolewa mapema Kwa timu zetu sio Kwa kizembe ni mchezo Tu kama wa tatumzuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Timu ipi ya Africa? Acha kujipendekeza kwa ufaransa
Hivi kuna anayeamini England wanaweza kuwafunga Croatia?
Labda kama ni utani [emoji23][emoji23][emoji23]
Team Croatia since day 1 [emoji1434][emoji1434]
Japo kombe ni la France
England kwa kuua kiungo na kurudi nyuma, hawawezi ku survive zaidi ya dk 20
Hivi unajua modric kafanya kazi kubwa sana adi kufikia mechi ya Jana alikuw kacheza mechi zote mwanzo mwisho na ndo alikuwa chachu kubw ya mafanikio ya CroatiaSijaona tofauti ya uchezaji wa Modric na Lingard
Naam khaswa tafuta thread yoyote inayozungumzia the three lions utanikuta. Kiukweli hatua tuliyofikia tunajipongeza khaswa jinsi watu walivyo kuwa wanatubeza kwa miaka mingi mpaka bezo likageuka chuki ni jambo jema sana. Lengo lilikuwa kufika fainali ila asie kubali kushindwa si mshindani hapo tulipoishia wengi walitamani tena magwiji ila hawakusogea.Kakaa!we ulikua kwa malkia!?
Sijaona tofauti ya uchezaji wa Modric na Lingard
Leo Croatia watapata tabu sana
Naam khaswa tafuta thread yoyote inayozungumzia the three lions utanikuta. Kiukweli hatua tuliyofikia tunajipongeza khaswa jinsi watu walivyo kuwa wanatubeza kwa miaka mingi mpaka bezo likageuka chuki ni jambo jema sana. Lengo lilikuwa kufika fainali ila asie kubali kushindwa si mshindani hapo tulipoishia wengi walitamani tena magwiji ila hawakusogea.
Kwa hali ilivyo croatia ni wazi croatia anamfunga leo England na kwenda kubeba worldcup kirahisi against France
Pia ikumbukwe rekodi zinaonyesha kila baada ya miaka 20 kombe la dunia hupata bingwa mpya na kwa timu zilizobaki ni wazi croatia ndio bingwa mpya mwenyewe kwani France na England wote wameshawahi kubeba kombe hili
Kuchukua ubingwa kwa Croatia pia itasaidia kuuonyesha ulimwengu ubora wa kiungo Luka Modric ambaye amekuwa underated kwa muda mrefu na wanazi wa soka
Tukutane baadae saa 3 kamili kuthibitisha haya
Nilitoka kwa mkopo kwenda kushabikia New Castle japo nayo haikufanya vizuri, msimu huu naweza kurudi kuendelea na arsenal
Timu ipi ya Africa? Acha kujipendekeza kwa ufaransa