Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mliyaanza haya mambo ya ubaguzi mapema tu kuwa hawa waafrika na wa Asia wamefuata nini huku! mkafanya kampeni pana vijumba jumba vingi humu vya waafrika na wa Asia mkawapa misukosuko mpaka mkawafukuza nadhani alibaki mu Asia mmoja tu . Mkajiona mpo salama muda kidogo mara oooh hawa wa amerika ya kusini wanataka nini huku ulaya basi mkawafanyia fitina mbaya zaidi walikuwa wachache nadhani alikuwa brazil na mwingine sijui nani vile nimemsahau basi nao safari ikawakuta. Sasa mkajiona mpo salama mmebaki ninyi lakini ghafla ooh pana mscandnavia humu nae oooh safari ikaiva. Mkajiona mpo salama sana lakini ghafla kila mmoja akaanza kujiuliza sawa sisi wote ulaya lakini sio ulaya tu pana magharibi na mashariki hii vita bado mpaka jumapili ila tambueni dhambi ya ubaguzi mkiisha ifanya ni sawa sawa na kula nyama ya mtu hamuwezi kuacha.
 
Kabisa akhui...
Ahhha kweli kabisa ahhha hahaha ha-ha kwema lkn Ndg yangu Guasa?
Namshukuru mungu huku kwema umetoa data za sane watu wakidhani wafanya maskhara mpaka walipoona pengine huyu Suleiman sane alikuwa kiboko waqt wa uhai wake wa soka mpaka akifika jeremani ndio akakutana na kimwana wakaunganisha damu na kupatikana dogo.
 
Back
Top Bottom