Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ili tuwe na akili lazima tushangilie crotia
Wa brazil nao vichaa tu


Tanzania
 
Kushabikia ligi hakunifanyi niwe upande wa timu ya taifa ya Wiingereza ila kama ulikuwa unaishabikia kuwa kuna ngozi nyeusi mle basi tambua kuwa kiwango chako cha kufikiri ni kidogo sana na unaweza kupata hata ujinga huko mbeleni kama hautakuwa unatumia vyema akili yako kuwaza kabla ya kuamua.
Aya. Ndo matatizo ya ukoloni yapo adi leo
 
Kuna Tumbili huko juu naona anarukaruka kwa kelele nyingi kama kakatwa mkia.

Mzee Mpira sio Biko kwamba hata ukiwa Matumbi unaweza kushinda, mpira ni maandalizi, utayari na juhudi kama unapeleka vitoto Wc unahisi hilo kombe wataliiba?

Kuna watanzania mazezeta sana hivi unatembea njiani unawaza England ichukue ubingwa kweli hiyo si dalili ya Kisonono kuanza kula mtindio wa Ubongo.
Only time will tell. Tangu niandike kuhusu mashindano haya nimemiss prediction moja tu ambayo ilitokana zaidi na woga wa waswede dhidi ya waingereza. Kwa sasa tusubiri huyo "tumbili aliyekatwa mkia" atasemaje huko mbeleni; ni suku chache tu zimebaki. Kombe linakwenda Ufarnsa kirahisi sana ndani ya Air France. Utabiri wangu hautokani na France kuwa na "wamatumbi" wengi kwani hata Ubelgiji na Uingereza zilikuwa na matumbi pia, ni kutokana na timu inavyomudu mchezo wakiwa uwanjani. Najua kuwa kuna mafisi wengi sana watalia kuona kombe hilo linakwenda ufaransa!
 
Mkuu, katika uzi huu mapema sana nilisema Croatia ni timu ya fainali
Niliona uchezaji wao ni wa kiwango cha hali ya juu sana

England wakipata goli wanatulia kana kwamba hawahitaji tena kushinda

Ufaransa sikuipa nafasi kama Croatia. Hii timu ni kali sana naona Kombe la dunia likielekea huko
Mashabiki wa London 'it's coming home...' naona hali ni mbaya sana

Uzuri wa ufaransa kama watacheza kwa mchezo wao wa kujaza viungo, hapo wanaweza kuwazuia Croatia, otherwise hii ni timu ya Ubingwa

Michezo ya makundi niliwaita England kama low energy, watu walibeza. Sijui huko waliko hali ipoje. It's over na ni mwaka England ilikuwa na matumaini makubwa sana.
Naam mkuu, you are very right, mimi kama shabiki mkubwa wa soka naangalia timu inavyocheza na katika soka ninachoshangilia ni mpira kutinga wavuni. Ninachojali ni matokeo na timu hata kama inacheza vizuri namna gani lakini kama ama hawafungi au hawalindi goli lao wasifungwe basi kwangu haifai. Baada ya leo nakiri timu ya England bado changa na Kombe la dunia wataendelea kuiota tu hadi watakapokomaa.
 
Hatimaye Maajabu yanakwenda timia jumapili hii huko Russia
Mungu amekua na mpango wake wa siri katika Kombe Hili na ndiyo maana limekua na matokeo ya kushangaza
Na kumbe alitaka apime uwezo wetu weusi uko level gani
Kidogo imemstua sasa anataka ajiridhishe jumapili hii.
Viva wa afrika!!!
 
Ni usiku wa manane sasa. Nenda kakojoe halafu kalale.
 
Back
Top Bottom