Wameona msibaivi kwanini baada ya mechi kuisha na england kutolewa mashabiki wa france walishangilia sana mpaka kupigana na polisi????hawa jamaa wameona nini kwenye fainali yao jumapili
Uchokozi tu mama ahhha
Mimi nilikuwa Ubelgiji,hasira zetu zote kesho z8naishia kwa malkiaMwanangu nawe ulikuwa upande huo?
Mimi nilikuwa Ubelgiji,hasira zetu zote kesho z8naishia kwa malkia
Masal kheir bibie ? kwema?Mwanangu nawe ulikuwa upande huo?
Aisee.
Yote mpira. Nimesikitika 3 lions kutoka! Sio mbaya timu bado ndogo na wanazidi kupata experience.
Ingekuwa fainali nzuri pale kati daraja lingekuwa limeshamili wachezaji wa EPL pangekuwa patamu sana.Pole sana mkuu..England wapo vizuri sana..wangekutana na france naamini france wangepata tabu sana..
Kesho ushindi mapema kabisaBelgium naipenda pia,tutakuwa pamoja hiyo kesho.
Ahhha kweli kabisa ahhha hahaha ha-ha kwema lkn Ndg yangu Guasa?John stone goli 2
Varane goli 1
Maquire goli 1
Umtiti goli 1
Hawa mabeki wamewazidi washambuliji wengi katika kutikisa nyavu kombe hili nasema naishia hapa
Ingekuwa fainali nzuri pale kati daraja lingekuwa limeshamili wachezaji wa EPL pangekuwa patamu sana.
Kabisa akhui...
Namshukuru mungu huku kwema umetoa data za sane watu wakidhani wafanya maskhara mpaka walipoona pengine huyu Suleiman sane alikuwa kiboko waqt wa uhai wake wa soka mpaka akifika jeremani ndio akakutana na kimwana wakaunganisha damu na kupatikana dogo.Ahhha kweli kabisa ahhha hahaha ha-ha kwema lkn Ndg yangu Guasa?
Kweli Ndg yangu Guasa wanadhani utaniNamshukuru mungu huku kwema umetoa data za sane watu wakidhani wafanya maskhara mpaka walipoona pengine huyu Suleiman sane alikuwa kiboko waqt wa uhai wake wa soka mpaka akifika jeremani ndio akakutana na kimwana wakaunganisha damu na kupatikana dogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] , tungelikua wote ungepata tabu sana keaho.Croatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni