Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mke wangu wamekubinya pua saluni ulipokwenda kusuka na kutoboa pua? Kwa nini hukusema mapema mama watoto ujue mmeo nimekutolea mahali nyingi?
Acha kuwaza kuolewa wewe. Hako kahereni kako hakatakusaidia kupata mabwana.
 
Acha kuwaza kuolewa wewe. Hako kahereni kako hakatakusaidia kupata mabwana.
Mke wangu bwana ushampata unataka mume wa pili? Kingine mke wangu nakuachia hela ya mboga unachezea kamali ole wako watoto walale njaa
 
Paka lipstick kabisa. Hako kahereni sikioni hakatoshi.
Ohoo kumbe mama watoto ukipaka lipstick huwa unavutia naona umeniagiza na hereni zingine nikuletee usijali mke wangu ntakunulia ila usisahau kumnyonyesha mtoto kabla ya kulala.
 
Ohoo kumbe mama watoto ukipaka lipstick huwa unavutia naona umeniagiza na hereni zingine nikuletee usijali mke wangu ntakunulia ila usisahau kumnyonyesha mtoto kabla ya kulala.
Unawaza kunyonyesha tu, ha ha ha. Ubwabwa.
 
Naomba kuuliza wajuvi wa mambo,jumla kuu anayopata mshindi wa nne ni dola kiasi gani tafadhali.
 
Asee JF kweli maktaba Ziroseventytwo ukwapi unaikumbuka hii post ila sikutegemea wangefika kote huku bila kinda hatari Alen halilovic
 
Leo ndio leo Wazungu Weusi Vs Wazungu Wekundu kazi ipo hapo. Watoto wa Watumwa/Wakimbizi wanapopata nafasi ya kuwadhihirishia Ulimwengu kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA uwe mweupe ama Mweusi sote ngoma droooo.
 
Asante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo......timu zangu zote zimetolewa tayari, leo natamani niwe neutral lakini kamoyo hakana dogo nakaona kameshaanza kuchagua upande....eeh Mungu nisaidie.
 
Hayaaa hayaaa jmn kumekuchaaa
Masaa tu ndo yamebak

Chaa ajabu npo njia panda
Tim zote nazpenda
 
Asante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo......timu zangu zote zimetolewa tayari, leo natamani niwe neutral lakini kamoyo hakana dogo nakaona kameshaanza kuchagua upande....eeh Mungu nisaidie.
Upande upi huo?
 
Leo ndio leo Wazungu Weusi Vs Wazungu Wekundu kazi ipo hapo. Watoto wa Watumwa/Wakimbizi wanapopata nafasi ya kuwadhihirishia Ulimwengu kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA uwe mweupe ama Mweusi sote ngoma droooo.
Kuna uwezekano mkubwa France akashinda leo ila Croatia wana uwezo wa kushinda pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…