Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Acha kubinya pua wewe.Ndo ulichonipikia mke wangu chakula cha leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kubinya pua wewe.Ndo ulichonipikia mke wangu chakula cha leo?
Mke wangu wamekubinya pua saluni ulipokwenda kusuka na kutoboa pua? Kwa nini hukusema mapema mama watoto ujue mmeo nimekutolea mahali nyingi?Acha kubinya pua wewe.
Acha kuwaza kuolewa wewe. Hako kahereni kako hakatakusaidia kupata mabwana.Mke wangu wamekubinya pua saluni ulipokwenda kusuka na kutoboa pua? Kwa nini hukusema mapema mama watoto ujue mmeo nimekutolea mahali nyingi?
Mke wangu bwana ushampata unataka mume wa pili? Kingine mke wangu nakuachia hela ya mboga unachezea kamali ole wako watoto walale njaaAcha kuwaza kuolewa wewe. Hako kahereni kako hakatakusaidia kupata mabwana.
Paka lipstick kabisa. Hako kahereni sikioni hakatoshi.Mke wangu bwana ushampata unataka mume wa pili? Kingine mke wangu nakuachia hela ya mboga unachezea kamali ole wako watoto walale njaa
Ohoo kumbe mama watoto ukipaka lipstick huwa unavutia naona umeniagiza na hereni zingine nikuletee usijali mke wangu ntakunulia ila usisahau kumnyonyesha mtoto kabla ya kulala.Paka lipstick kabisa. Hako kahereni sikioni hakatoshi.
Unawaza kunyonyesha tu, ha ha ha. Ubwabwa.Ohoo kumbe mama watoto ukipaka lipstick huwa unavutia naona umeniagiza na hereni zingine nikuletee usijali mke wangu ntakunulia ila usisahau kumnyonyesha mtoto kabla ya kulala.
Huchelewi kulala mke wangu ukasahau jukum lako mmeo lazima nikukumbushe nyie wanawake mna mambo mengiUnawaza kunyonyesha tu, ha ha ha. Ubwabwa.
Napenda unavyoongea huku umebinya pua.Huchelewi kulala mke wangu ukasahau jukum lako mmeo lazima nikukumbushe nyie wanawake mnamambo mengi
Kumbe ndo pozi lako mama watoto nimekuelewa mmeo ndo kisa cha kukuweka ndaniNapenda unavyoongea huku umebinya pua.
Unafikiria kuwa mama watoto tu. Huna jingine la kuwaza?Kumbe ndo pozi lake mama watoto nimekuelewa mmeo ndo kisa cha kukuweka ndani
Hata mpira wanaocheza sijui unaitwa"komaa komaa". Haujilikani.Mashabiki wa England bhana kelele, yaani walitegemea timu hii ndio ibebe WEDIKAPU?
Asee JF kweli maktaba Ziroseventytwo ukwapi unaikumbuka hii post ila sikutegemea wangefika kote huku bila kinda hatari Alen halilovicDenmark jamani iko undermined ila naitabiria mema mwaka huu..... Yaani winga ya chini unamkuta mzee victor Fischer winga ya juu unamkuta blaki pione sisto hapo kati eriksen na schone mbele kuna kasper dolberg wa ajax....defence ndio kabisaaa tuna christensen wa chelsea na vestergaard wa borussia eeh bhana kwa wanaofuatilia soka hiki kikosi hakina majina ila ni kikali mnoooo..... Hapo msisahau Krohn dehli na kjaer wanapanda na kushuka huku striker mkali kabisa wa RB leipzig yousef poulsen akichokoza defence za maadui...... Patakua hapatoshi kabisa
Dah hatari sana hiki kikosi..... Nlikuwa nawakubali sana croatia ila baada ya kuona wanakumbatia wazee na kutosa vijana wenye vipaji kama Alen halilovic nikajua basi tena hawafiki kokote mwaka huu wamejichanganya wenyewe
Anyway tusubiri mtanange nione hivi vitimu vyangu vitafika wapi
Upande upi huo?Asante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo......timu zangu zote zimetolewa tayari, leo natamani niwe neutral lakini kamoyo hakana dogo nakaona kameshaanza kuchagua upande....eeh Mungu nisaidie.
Kuna uwezekano mkubwa France akashinda leo ila Croatia wana uwezo wa kushinda pia.Leo ndio leo Wazungu Weusi Vs Wazungu Wekundu kazi ipo hapo. Watoto wa Watumwa/Wakimbizi wanapopata nafasi ya kuwadhihirishia Ulimwengu kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA uwe mweupe ama Mweusi sote ngoma droooo.