Mtu mweusi anayeshabikia Crotia is Menta slave..
Asante,Acha hizo wewe,ukianza kujibagua utajilinganisha na kila kitu ndo mwanzo wa utumwa huu
Acha uongo wewe, hayo magoli mengine ni VARBila VAR, France ni wepesi kama tishu
Upo?[emoji85] [emoji85]Bila VAR, France ni wepesi kama tishu
I don't feel single and alone anymore! It's like we are together IS IT???Asanteeee Pogba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawaangalii vzr kazi yao kuiponda France na bado moja la mwishoMkuu cheki vizuri hapa aliushikaView attachment 810120
Mnaoipenda Croatia mtapata taabu sana![emoji119][emoji119]Pogba kamaliza mchezo. Diffending erra inawa cost croatia. Dah nimeumia sana.
Kama washabikia Crotia basi utapata tabu sanaaaaaaa...Acha hizo wewe,ukianza kujibagua utajilinganisha na kila kitu ndo mwanzo wa utumwa huu
Pogbaaaaa[emoji182] [emoji182] [emoji108] [emoji108]Hawaangalii vzr kazi yao kuiponda France na bado moja la mwisho
Karibu nikuliwazeDooh jamani naomba niwaage tu....usiku mwema
Marahaba Croatia..!Shikamoo Pogba