Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

France hii mipira mirefu inaweza kuwagharimu pia croatia wanashambulia kwa kihoro na hisia kali wanatafuta kufunga na kusahau kufungwa.

Ni somo kwa kocha wa Croatia ajue watu km MBAPE, POGBA, GRIEZMAN na Giroud wanakufunga anytime ukifanya kosa!
 
Back
Top Bottom