Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya naacha bana
numbisa utanimalizia GB zangu ujuee,,

sifungui huu uzi tena [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya naacha bana
weka magoli tuu, la sivyo naukimbia huu uziii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mchezo wanaoucheza Croatia ndio kama ule walioucheza England mwaka 1966 hadi wakachukua kombe. Ni mchezo wa nguvu ambapo unahakikisha hukosi ama mpira au mwenye mpira. Walimfanya Pele ashindwe kabisa kumudu mchezo kwani hawakumpa kabisa nafasi ya kuonesha ufundi wake hadi ikabidi atolewe. Kocha wa England aliwaambia wachezaji wake wahakikishe Pele hapiti akiwa na mpira...ama yeye au mpira!
 
Mimi siufaidi vizuri leo nipo job hapa nina anglia kwenye simu kwa kutumia Sonylive stream network inasumbua balaaaaaaa.
 
Giroud leo amefichwa pasipojulikana hata space and time ya kufanya yale makosa na madudu yake yale hajapata!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
France wasipopata goli la tatu mapema gololi zangu hazitapona. maana hata HT nimeziminya.
 
Super sports kuna mabishano makali kati ya Andy townsend na Okocha.
Townsend anasema sio penati okocha anasema ni penati.
Hahahaaaaaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
France wasipopata goli la tatu mapema gololi zangu hazitapona. maana hata HT nimeziminya.
 
Mchezo wanaoucheza Croatia ndio kama ule walioucheza England mwaka 1966 hadi wakachukua kombe. Ni mchezo wa nguvu ambapo unahakikisha hukosi ama mpira au mwenye mpira. Walimfanya Pele ashindwe kabisa kumudu mchezo kwani hawakumpa kabisa nafasi ya kuonesha ufundi wake hadi ikabidi atolewe. Kocha wa England aliwaambia wachezaji wake wahakikishe Pele hapiti akiwa na mpira...ama yeye au mpira!
Mkuu VP hiyo mechi uliishihudia.
 
Back
Top Bottom