Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha ya Game cheating bro, huu si mchezo sasa!
Basi waweke na mahakama kabisa,timu isiporidhika tunapanda kotiRaha ya Game cheating bro, huu si mchezo sasa!
Inaonekana leo furaha yangu kwako ni killio kikuu ... After game you have ma shoulder to cry on.Woooozeeeeerrr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Croatia wanawasaidia france kupata kombe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Chief, haina tofauti kabisa!Basi waweke na mahakama kabisa,timu isiporidhika tunapanda koti
Aisei crotia atarudisha aisei, france wanamakosa mengi mno..! Wanashindwa kuhimili pressures ya hawa madogo wakorintia..Roho kidukudu mpira uisheeeeee
Mie kwangu furaha tupu leo nakuhurumia wewe shabik wa Croatia [emoji23]Inaonekana leo furaha yangu kwako ni killio kikuu ... After game you have ma shoulder to cry on.
Wamuulize UK alivyoondoka anaongoza nimeona France wako hoi nadhani weather inawazingua sana. Wakimudu kuwathibiti dakika 20 za second ½ basi France itabeba.Mpira ni mchezo katili sana
France hana shot on target na ball possession ni 39% ila wanaongoza.
Sangoma wao asifiwe.
mambo ya ALL FOOTBALL[emoji23]@numbisa unatisha na gif zako. Big up
Hii kitu waiondoe tu, ingekuwapo hata 1986 argentina huwezi jua kama wangekuwa mabingwa. Inaharibu ladha, waipeleke kwenye mieleka WWE ndio kina kucheat za makusudi.VAR wanataka kuibeba France
mambo ya ALL FOOTBALL[emoji23]
Hii kitu waiondoe tu, ingekuwapo hata 1986 argentina huwezi jua kama wangekuwa mabingwa. Inaharibu ladha, waipeleke kwenye mieleka WWE ndio kina kucheat za makusudi.VAR wanataka kuibeba France
iko poa sanaaa naikubali sanaa,,Yeah. Nice application