Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Sawaaa[emoji1082][emoji1082][emoji1082][emoji1082][emoji1082][emoji1082][emoji1082][emoji1082]
 
Yaani nimechelewa kufika home imebidi mpira niungalizie kagawanii
 
Goal croatia
1531668647297.gif
 
Croatia walijifunga ila wametawala. Hawa waafrika leo wana kazi ya ziada. Croatia leo wako tofauti zaidi, wako kikazi zaidi.
 
Patten za Croatia iko vzr ,naona France watapata ugumu kupenya Kati ,wakati Croatia wao wako vzr kupenya kati beki ya France, so France wategemee cross,corner na mipira iliyokufa

Croatia 4 - 3 -3
 
huyu UMTITI WC ikiisha wamrudishe haraka hifadh ya GOMBE itakua katoroka
 
Back
Top Bottom