Inaonyesha imewekwa kwa ajili ya FranceUncle VAR karudi
VAR ishatibua utaratibu wetuNaona leo utabiri wako unaenda sawa
Woooozeeeeerrr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]VAR ishatibua utaratibu wetu
Hii kitu ya ******* sanaVAR ishatibua utaratibu wetu
Dhaaaaaaaa me imeniboa sana aiseeee hii ktuVAR inaharibu kweli mpira. Fainal inaamuliwa na Video.
Raha ya Game cheating bro, huu si mchezo sasa!Hii kitu ya ******* sana