Huyo mkuu alinishambulia sana bora umemuona nilimwambia kwa mpira aliopiga uingereza hao crotia kumfunga france ni ngumu jamaa aliniita tumbili nafikir kwa sasa kichwa kakitumbukiza kwenye mchanga kwa aibuTumbili aliyekatwa mkia alisema ukweli, siyo!
Jizoeze kuwa unatumia lugha nzuri kuliko matusi kwenye mijadala ya humu.
Hahahaha.....!!!Yaani ni kweli tupu, wala sio uongo[emoji23] [emoji23]
Hahaha acha hizo bnHuyu gorikipa ingekua N.korea alikua anavishwa Nyuklia
France 4 Croatia 2Matokeo vipii wakuu
Brazil kabeba mkuuMatokeo vipii wakuu
PoleAcha tu uu!!
PumbafuuuuBrazil kabeba mkuu
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Giroud ni mtumishi hewa.
Ila mkuu croatia imepiga mpira tuwe wakweli ila ni mistake chache tu zimewacost ila france alizidiwa kila sekta hasa midfieldHuyo mkuu alinishambulia sana bora umemuona nilimwambia kwa mpira aliopiga uingereza hao crotia kumfunga france ni ngumu jamaa aliniita tumbili nafikir kwa sasa kichwa kakitumbukiza kwenye mchanga kwa aibu
KadatA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pogba bana kapagawa
Since you jump to comment on it, you care!Who care'$