Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mzee wa dirty game Ramos alikuwepo pale kwenye box
 
Post yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.

Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF [emoji1423]
@nifah yuleyule na lipstick yake. Karibu mama. [HASHTAG]#TeamCroatia[/HASHTAG]. Baada ya kipenzi cha watu Messi kuondoka.
 
Aigoooooo,hello hyungnyim
Huyu dogo jana kanikosha sana,naona anafuata nyendo za shujaa wake sio kwa mbio zile za jana.

Ila jamani jana Cr7 angefanya nini? Bernado jana kaniudhi kidogo nivunje TV! Yeye ndiye aliyetunyima ushindi jana.
bingo
anyeong haseyo noonaaa
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
izo mbio zake ajipange vizuri sana kwa sheikh diego godin
 
Mlio karibu na TV ubao unasomekaje nasikia mtu kajifunga.

Mimi ndio naelekea bandani sasa hivi


Lazima ajifunge, alikuwa anamkaba Ramos kwenye box, matokeo wote wakaenda chini akaweka mpira nyavuni kwake. Genius Ramos, amuulize Salah, alikula judo moja Dunia yote ilikuwa inalia.
 
Huyu Diego Costa akili ndogo kama Lukaku tu

Lukaku,Pogba ni overrated,sijaona makali yao kulingana na sifa wanazopewa.

Diego Costa baada ya kufunga magoli mawili mechi yao ya kwanza akamtukana kocha wake hana ajualo baada ya kumtoa,aiseeee!
 
@nifah yuleyule na lipstick yake. Karibu mama. [HASHTAG]#TeamCroatia[/HASHTAG]. Baada ya kipenzi cha watu Messi kuondoka.

Lol
Croatia nipo kwa ajili ya Modric,nakapenda sana kale kajamaa.
Ila hapo kwenye kipenzi cha watu unafeli Mkuu,kwangu ni mwamba Cr7 [emoji1434]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…