Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Tisiaraei Mungu anawaona huu uzi ungekuwa umeshafikisha page ya elfu mbili....sasa eti ndio kwanza page ya 30
 
Lukaku,Pogba ni overrated,sijaona makali yao kulingana na sifa wanazopewa.

Diego Costa baada ya kufunga magoli mawili mechi yao ya kwanza akamtukana kocha wake hana ajualo baada ya kumtoa,aiseeee!
pogba ni mzuri sana ukimjulia namna ya kumpanga!
 
Warusi hawa wamechokoza nyuki, sasa watapata tabu sana.
 
Ukiushika mpira ukiwa unaangalia upande mwingine kamwe haiwezekani kuwa penalt. Mbeleko kwa mwenyeji hii.
Sijui sheria zao zaidi mkuu, hapo kwa mimi naona ilistahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…