Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
KumbeeePale haikuwa ovyo, akili tu imetumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeeePale haikuwa ovyo, akili tu imetumika
bingo
anyeong haseyo noonaaa
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
izo mbio zake ajipange vizuri sana kwa sheikh diego godin
![]()
pogba ni mzuri sana ukimjulia namna ya kumpanga!Lukaku,Pogba ni overrated,sijaona makali yao kulingana na sifa wanazopewa.
Diego Costa baada ya kufunga magoli mawili mechi yao ya kwanza akamtukana kocha wake hana ajualo baada ya kumtoa,aiseeee!
Hapana, iko sahihi kabisa mkuuHii penalty ni ya upendeleo
Penalt hiyo
Hapa ndipo sielewi kwanini hii isiwe ball to hand?Hapana, iko sahihi kabisa mkuu
Hilo ni kosa hata kama hakutarajia kulifanyaMie naona haikuwa sahihi maana Pique hakuwa akiuangalia mpira.
Dah
Dakika 90 zitaamuaWarusi leo safari yao tu
Ukiushika mpira ukiwa unaangalia upande mwingine kamwe haiwezekani kuwa penalt. Mbeleko kwa mwenyeji hii.Hilo ni kosa hata kama hakutarajia kulifanya
pogba ni mzuri sana ukimjulia namna ya kumpanga!
Sijui sheria zao zaidi mkuu, hapo kwa mimi naona ilistahiliUkiushika mpira ukiwa unaangalia upande mwingine kamwe haiwezekani kuwa penalt. Mbeleko kwa mwenyeji hii.