Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanamuamini kipa wao kwenye matutaRussia can't play a defensive game and expect to win.
Labda wanamuamini kipa wao kwenye matuta
Basi hawa warusi waende tu jamani nimewachokaKwa wake zao hahaaaaa
Basi hawa warusi waende tu jamani nimewachoka
Vijana wanakaza uzi nyumban hii game si ya kitotoNgoma ngumu.full time 1-1. Extra time sasa. God bless spain.
Pamoja sanaKqbla ya yote kwa kuwa JF imerudi leo, nitoe salamu zangu za pole kwa Ronaldo na Messi baada ya timu zao kuondolewa katika world cup.
Pia nikiwa kama shabiki kindakindaki nimesononeka sana kwa kuondolewa kwa Ujerumani mapema sana kinyume na matarajio ya wengi.
Wadau wa soka tunafurahi kwa JF kurudi kwa kishindo.
hawa spain wanatuangusha sana leoYaniiiiiii na hivi wameingia extra time jamani wakishinda nitachukiaje?
hili ni train mkuuHawa Warusi hili basi wamepaki ni aina gani?
haa haa haa vladimir hataki ujinga...ndio maana wanapambana sanaHawa wataelekea Ikulu kula mikwaju na Putin