Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
AiseeeCROATIA kapata penalti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeCROATIA kapata penalti
Siku ya kufa nyaniCROTIA wamekosa penalti hapa jamani.
imekuaje mkuu?CROATIA kapata penalti
kipa katuokoa. Mpaka babake kafurahi
mkuu modric kakosa penalti.imekuaje mkuu?
daah...afadhali.wamekosa
mkuu modric kakosa penalti.
Luka Modric kakosa penalti ya ushindi, basi wanaondoka hawa CroatiaNaona croatia anaondoka hii kwa mujibu wa akili zangu.
Kaidaka penalti ya Modric ngoja tuone atadaka ngapi sasapia wana uhakika na kipa wao kwenye hatua za penalti.