Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

What a dramatic penalties shoot out! Hard luck Denmark. Lakini hawa Croatia ndio wenye uwezo wa kucheza na timu kama Russia
 
At last... bora leo nitalala usingizi jamani! Jana nilipata mang’amung’amu ya magoli ya Cavani hadi kunakucha [emoji23][emoji23][emoji23].

Nimefurahi zaidi kwa Croatia kushinda maana wangeshindwa leo lawama zote zingemuishia kipenzi changu Modric.

Naiona fainali ya Croatia na Mexico [emoji41]
 
Hata denmark walikuwa na uwezo wa kucheza na Russia, kwa kuwa Russia hawatishi sana,

Hongera kwao Croatia.
 
Kaidaka penalti ya Modric ngoja tuone atadaka ngapi sasa

Ilikuwa lazima tushinde japo wametuchelewesha hahaaaaa.
Ila hii ya leo haikuwa ile Croatia niliyoiona tokea mwanzo,wana kazi ya ziada ya kujipanga upya maana Warusi leo wametuonesha maajabu.
 
At last... bora leo nitalala usingizi jamani! Jana nilipata mang’amung’amu ya magoli ya Cavani hadi kunakucha [emoji23][emoji23][emoji23].

Nimefurahi zaidi kwa Croatia kushinda maana wangeshindwa leo lawama zote zingemuishia kipenzi changu Modric.

Naiona fainali ya Croatia na Mexico [emoji41]
Kweli Modric angebebeshwa lawama, Nilikuwa namuonea huruma sana.......na zile stori za Mdigo anayecheza WC zimeishia leo.

Safi sana Crotia.
 
Denmark kiufundi wako vizuri zaidi, Kwa jinsi Croatia ilivyo na viungo bora vile sikutarajia,kama wangebanwa kiasi cha kushindwa kuonyesha mpira wao.

Sina uhakika na timu nyingeni ila nina uhakika, Uruguay anacheza fainali mwaka huu na kuna uwezekano akabeba ndoo
 
Ilikuwa lazima tushinde japo wametuchelewesha hahaaaaa.
Ila hii ya leo haikuwa ile Croatia niliyoiona tokea mwanzo,wana kazi ya ziada ya kujipanga upya maana Warusi leo wametuonesha maajabu.
Denmark wamekufa kiume.

Croatia wamepita kwa mbinde, wajiandae na mechi ijayo hali itakuwa tete
 
Back
Top Bottom