Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 807
Croatia wamepita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Denmark wamemuangusha sana kipa wao.Croatia kashnda
Duh penati za leo hatari
Hana lawama kwa kweliNamuonea huruma Kasper Schmeichel kwa juhudi zote alizofanya wenzake wamemuangusha.
Nakubaliana na wewe mkuu.What a dramatic penalties shoot out! Hard luck Denmark. Lakini hawa Croatia ndio wenye uwezo wa kucheza na timu kama Russia
Penati hazina mwenyewe, tunaweza sema walipofikia ni pa kujifunzia pia au hawakuwa na bahati nzuri.Denmark wamemuangusha sana kipa wao.
yap ni kweli mkuu.Penati hazina mwenyewe, tunaweza sema walipofikia ni pa kujifunzia pia au hawakuwa na bahati nzuri.
Hata denmark walikuwa na uwezo wa kucheza na Russia, kwa kuwa Russia hawatishi sana,What a dramatic penalties shoot out! Hard luck Denmark. Lakini hawa Croatia ndio wenye uwezo wa kucheza na timu kama Russia
Namuonea huruma Kasper Schmeichel kwa juhudi zote alizofanya wenzake wamemuangusha.
Kaidaka penalti ya Modric ngoja tuone atadaka ngapi sasa
Kweli Modric angebebeshwa lawama, Nilikuwa namuonea huruma sana.......na zile stori za Mdigo anayecheza WC zimeishia leo.At last... bora leo nitalala usingizi jamani! Jana nilipata mang’amung’amu ya magoli ya Cavani hadi kunakucha [emoji23][emoji23][emoji23].
Nimefurahi zaidi kwa Croatia kushinda maana wangeshindwa leo lawama zote zingemuishia kipenzi changu Modric.
Naiona fainali ya Croatia na Mexico [emoji41]
pia wana uhakika na kipa wao kwenye hatua za penalti.
Denmark wamekufa kiume.Ilikuwa lazima tushinde japo wametuchelewesha hahaaaaa.
Ila hii ya leo haikuwa ile Croatia niliyoiona tokea mwanzo,wana kazi ya ziada ya kujipanga upya maana Warusi leo wametuonesha maajabu.