Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Good,Gooder,Goodest
 
Still hii Final yangu.

Uruguay [emoji1257] [emoji739] Belgium [emoji1045]
Kombe la dunia la safari hii utabiri umekuwa ni mgumu sana. History zinauliwa na history kwa upande mwengine zinazaliwa upya. Ngoja tuone.
 
Yap kwa kombe La mwaka huu ni kweli,ila huyu Ubelgiji nimeshampunguzia maksi.Mjapan kamtoa Jasho mno
Wanasema taraji usichokitarajia, naona mizani ya kwenye soka la kimataifa kidogo kwa kiasi chake inakuwa sawa bin sawia. Kuhusu Japan ukirejelea kwenye historia yao ya soka hawa majamaa nyota yao ilishaanza kung'aa kitambo tu, mbelgiji yupo vizuri ila soka limebadilika sasa hivi na tuendelee kuangalia na yajayo yatastaajabisha zaidi coz anything can happen.
 
This is one of the most cleanest games so far this in this [HASHTAG]#WorldCup[/HASHTAG], no fouls, no cards, no divings, no VAR drama, just plain, clean, interesting football.

Thank you Japan & Belgium ❤️

[HASHTAG]#BELJPN[/HASHTAG] l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…