Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Sio penalty tuu,.All kicks,. Zinaruhusiwa[emoji38]120 na penalty tano tano ,juu [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio penalty tuu,.All kicks,. Zinaruhusiwa[emoji38]120 na penalty tano tano ,juu [emoji3] [emoji3]
Ewaaa ,unazidi kunikosha,free kicks zote ,tuone umahiri wa kipa ktk kudaka michomo [emoji12] [emoji12]Sio penalty tuu,.All kicks,. Zinaruhusiwa[emoji38]
[emoji16][emoji16][emoji28]Ewaaa ,unazidi kunikosha,free kicks zote ,tuone umahiri wa kipa ktk kudaka michomo [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji28]
[emoji473][emoji473][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushapata Breakfast ? au uko job ,hope mazoezi ushamaliza[emoji473][emoji473]
Breakfast bado,ila nilianza na green tea baada ya kumaliza zoezi[emoji1]Ushapata Breakfast ? au uko job ,hope mazoezi ushamaliza
Safi sana,nakuaminia ,hapo unakua tayari kwa 'uwajibikaji'Breakfast bado,ila nilianza na green tea baada ya kumaliza zoezi[emoji1]
Haswaaa[emoji6]Safi sana,nakuaminia ,hapo unakua tayari kwa 'uwajibikaji'
[emoji8] [emoji6]Haswaaa[emoji6]
Wamelala na viatuWabelgiji wameshinda lakini cha moto wamekiona
Timu ipi ya kumtoa Brazil?safari ya dada neymar kurudi kwenye mashindano ya mitindo ya nywele kule braizil imekaribia,waombe countinho, marcelo wawe ktk form zao na firmino aznishwe lasivyo watakuwa na hali mbaya
Good,Gooder,GoodestMtazamo wangu kwa WC
1. Mexico wangeweza kuwazua Brazil. Nchi za Latin America zinajuana
Kwa bahati mbaya wacheza walikuwa na hofu wakisubiri itokee kama ilivyokuwa kwa Germany warudi kulinda goli. Walitegemea penaliti kuitoa Brazil, mbinu haikufanya kazi
2. Belgium ni timu nzuri. Kilichowatia kiwewe ni speed ya Japan wakikaribia goli
Walibadili mchezo na kwenda kasi. Japan walifanya makosa.
Kucheza na timu kama Belgium ukalinda magoli ni kukaribisha matatizo.imewagharimu
3. Uingereza wanategemea kuwafunga Colombia. Watafanya kosa kama hawatatambua Colombia inatoka Amerika kusini. Mpira wa cross unaweza kuwagharimu.
Wakifungwa moja tu, kurudisha itakuwa mbinde kama si kutoka
4. Sweden ni timu nzuri sana inategemewa kuwafunga Swiss kesho. Hili halina mjadala
Timu ninazodhani zitakazosonga mbele katika 4 bora
Uruguay , Croatia , Brazil, Sweden
Kwa history sawa ila chochote kinaweza kikatokea.Anayeweza kumnyima Ubingwa Brazil Kwa Timu zilizobaki ni Ufaransa tu
Kombe la dunia la safari hii utabiri umekuwa ni mgumu sana. History zinauliwa na history kwa upande mwengine zinazaliwa upya. Ngoja tuone.Still hii Final yangu.
Uruguay [emoji1257] [emoji739] Belgium [emoji1045]
Yap kwa kombe La mwaka huu ni kweli,ila huyu Ubelgiji nimeshampunguzia maksi.Mjapan kamtoa Jasho mnoKwa history sawa ila chochote kinaweza kikatokea.
Wanasema taraji usichokitarajia, naona mizani ya kwenye soka la kimataifa kidogo kwa kiasi chake inakuwa sawa bin sawia. Kuhusu Japan ukirejelea kwenye historia yao ya soka hawa majamaa nyota yao ilishaanza kung'aa kitambo tu, mbelgiji yupo vizuri ila soka limebadilika sasa hivi na tuendelee kuangalia na yajayo yatastaajabisha zaidi coz anything can happen.Yap kwa kombe La mwaka huu ni kweli,ila huyu Ubelgiji nimeshampunguzia maksi.Mjapan kamtoa Jasho mno