Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hawa Colombia bure kabisa.

Heri wafungwe watolewe warudi zao huko Bogota.
 
Na ilikuwa kiduchu tu awape bao la offside. Falcao kalalamika kalamba yellow. Kweli refa huu mchezo ashapoteza mwelekeo
Falcao kupigwa kiatu cha kichwa kauchuna, VAR sometimes haina umuhimu au labda wale majamaa wanaponoka, mpira filimbi nyingi kama sangura.
 
Refa nae anamkeka wake mbona Penati nyepesi hii.
ni kosa kubwa sana kusema penati nyepesi refa yupo kwa ajili ya kusimamia sheria 17 haijalishi ilikuwa nzito au nyepesi kama ana hatia weka kati
 
ni kosa kubwa safi kusema penati nyepesi refa yupo kwa aajili ya kusimamia sheria 17 haijalishi ilikuwa nzito au nyepesi kama ana hatia weka kati
Tatizo hizo sheria 17 anaply upande mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…