Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Fra,bra,bel!!!! Aisee we noma sanaMpo jamani,wale tuliokuwa wote hapa 2014,by Gods Grace we are here again,to let you know,Iam team France,Brésil and Belgium.Haya twendeni kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fra,bra,bel!!!! Aisee we noma sanaMpo jamani,wale tuliokuwa wote hapa 2014,by Gods Grace we are here again,to let you know,Iam team France,Brésil and Belgium.Haya twendeni kazi.
Nimemuona kapiga shoot moja limekwama kwenye ukuta wa JapanLukaku mnyama leo anatupia mawili.
una maanisha England anafika fainali?Daaaaaaaaah Brazil dhidi ya Mexico..... Ni fainali ya kwanza kabla ya fainal. Hapa umepigwa mpira wa hela yote ila mashahidi ni Ochoa na Allison Becker...... Kuna michezo hutakiwi kutizama na familia maana watajua matusi yako na mzuka wako.....
Pakikucha nakwenda kununua jezi ya Ochoa na Allison kwa kuufanya mchezo huu kuwa fainali. Kwanini hawa wasingekutana fainal...? Mbele ya macho ya Raisi wa FIFA unapigwa mpira wa dunia....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Brazil umechomoka hapo, tunakupa tena Belgium... Ukichomoka na hapo tunakupa England....au kuna tatizo
Umesemaa wewe[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]una maanisha England anafika fainali?
Salam zao hzoSubiri Belgium ifanye mambo sasa hivi, waambie wafue nguo zao kabisa na kuzinyosha kisha kuzipanga kwenye mabegi yao
😀😀😀😀😀😀 hebu usije sababisha dunia ikaongezeka makelele maana haya tu yanatutosha.Umesemaa wewe[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Jamaa wanashambuliwa ila wanakaba hahhahhaNimemuona kapiga shoot moja limekwama kwenye ukuta wa Japan
Dhidi ya Japan?Hazard kwenye ubora wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀😀😀😀 hebu usije sababisha dunia ikaongezeka makelele maana haya tu yanatutosha.
Wajapan wanajitahidi, lolote laweza kutokeaJamaa wanashambuliwa ila wanakaba hahhahha
Kabisaa,.leo sio siku ya kubet shughuli pevu,.Wajapan wanajitahidi, lolote laweza kutokea
Ana kasi sana huyu jamaa, Japan watapata tabu sana, Japo wanashambulia but mipango ni butu.Dhidi ya Japan?
Game ya Belgium hiiWajapan wanajitahidi, lolote laweza kutokea