Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Daaaaaaaaah Brazil dhidi ya Mexico..... Ni fainali ya kwanza kabla ya fainal. Hapa umepigwa mpira wa hela yote ila mashahidi ni Ochoa na Allison Becker...... Kuna michezo hutakiwi kutizama na familia maana watajua matusi yako na mzuka wako.....

Pakikucha nakwenda kununua jezi ya Ochoa na Allison kwa kuufanya mchezo huu kuwa fainali. Kwanini hawa wasingekutana fainal...? Mbele ya macho ya Raisi wa FIFA unapigwa mpira wa dunia....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Brazil umechomoka hapo, tunakupa tena Belgium... Ukichomoka na hapo tunakupa England....au kuna tatizo
 
una maanisha England anafika fainali?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mmh Hawa Japani hawa sio watu wazuri hawa, wanaweza kumuaibisha mtu mzima hawa.
 
Back
Top Bottom