Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana nidhamu sana ndio maana wamefika hapo.Safu ya ulinzi Japan wako vzr...
Umeona eeewhh!kweli mwaka huu hakuna timu kubwaDuuuuuhhhh
Hahahahaa dalili sio nzuri hizii...Ayaaaa
tupo mamy jana na leo japo tisiaraei wametuchelewesha .....hakuna siku niliikumbuka jf kama siku ile wakoloni wetu walidhalilishwa na wakoreaMpo jamani,wale tuliokuwa wote hapa 2014,by Gods Grace we are here again,to let you know,Iam team France,Brésil and Belgium.Haya twendeni kazi.
Mnoooo!!!Hahahahaa dalili sio nzuri hizii...
Haswaa jamaa wanakabwa vibayaawana nidhamu sana ndio maana wamefika hapo.
wanasemaga liwalo na liwe.Kweli mkuu, timu ambayo inajua kabisa haifiki popote ikiamua kukuharibia linawezakana tu
Usione ajabu wanaweza kufungwa hapahawa Belgium wasitufanye tukeshe jamani....
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila bora jf imerudi kabla ya WC kuishatupo mamy jana na leo japo tisiaraei wametuchelewesha .....hakuna siku niliikumbuka jf kama siku ile wakoloni wetu walidhalilishwa na wakorea
Bora wakaze wasipite na ela yangu na Japan wanaonekana watawakazia hapaWatalainika tu hawa
Wakipanic tuu,..tunakusanya viragoUsione ajabu wanaweza kufungwa hapa
Usione ajabu wanaweza kufungwa hapa
daah....ila mwaka huu hakuna linaloshindikanaUsione ajabu wanaweza kufungwa hapa
Ngoja tumuone kwa m-Colombia ingawa colombia hawapo vizuri sana.Ni shida tupu ila wanaweza kufika nusu