Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wakina nani?Wakaendelee kututengenezea bidhaa bora kama Tv za Sony, mpira watuachie sisi...
Huu msemo wa kufa kiume cjawahi kuukubali kabisa....umekaa kinafiki nafiki hv...Ila wamepambana jamaa sio kidogo,wamekufa kiume hahaa
Mwana ukome hiyo.Hii inaitwa
" Hata ukioga mjini huendi "
japan+korea wameleta mabadiliko ktk mpira wameonyesha kuwa kila timu inafungika ni suala la tacticsNimewapenda bure Japan hata kama wametoka ila wameonesha kitu kikubwa sana.
Kazaa dume sema dume lenyewe maksai.Anazaa buana,sema kazaa dume leo[emoji23]
Kwann[emoji16][emoji23]Huu msemo wa kufa kiume cjawahi kuukubali kabisa....umekaa kinafiki nafiki hv...
Nilikwambia usikubali kushindwa kilahisi hivyo, mpira una majaabuAcha tu,nilishaambiwa nina bahati mbaya hahaaaaa
Hakuna chakujitahidi...Japan timu kubwa ile....wameniudhi aghhh!! Bac tu...toka haya mashindano yaanze japan ndio timu iliyocheea shillingi kwenye tundu la choo,ila wamejitahidi kufikia hatua hiyo
Helooooo!Hongera pia kwa Japan wamecheza game na timu ngumu na iwepata changamoto mpaka dk za mwisho....halla Japan say hello to goodbye!!!
WoozzerrrKazaa dume sema dume lenyewe maksai.
Eti wanapiga sarakasi uwanjani ivi wana akili zote kweliWakaendelee kututengenezea bidhaa bora kama Tv za Sony, mpira watuachie sisi...