Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Lukaku anahitaji pongezi za hali ya juu. Namba tisa yoyote duniani kuiacha ile pasi impite wakati alikuwa ktk nafasi ya kufunga na kumuachia mwenzake aliyempa taarifa ya kuuacha kunahitaji ujasiri wa hali ya juu kwa namba 9. Alafu lukaku ndiye amayemfukiza Kane mfungaji bora, kuiacha ile pasi ni selflessness ya hali ya juu kwa ajili ya timu. Imajin Chadli angekosa pale, lawama nyingi angedondoshewa lukaku kwa kuiacha ile pasi murua licha ya kwamba yeye ni namba tisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna wametumia tafsida tuu kusema kufa kiume,.imechukuliwa kama " kupambana" kujitoa kwelikweli pamoja na vikwazo vyoote hukubali mpaka kieleweke,.no kukata tamaa kirahisi rahisi,.ni maneno tuu ya kiswahili/uswahili[emoji16]
Duh!! Kiswahili kigumu...ulivyotiririka umenifanya hadi nimkumbuke ticha wangu wa kiswahili...barikiwe sana...
 
Kama vitu vingine vinavyobadilika na mpira nao unabadilika kwa kasi,kombe la dunia mwaka huu tofauti na matarajio ya wengi kabisa linaenda kushuhudia mabingwa wapya kabisa timu ya Ubelgiji ikitwaa ubingwa huku vinara kadhaa kama Brazil, Ujerumani,Uingereza nk wakibaki midomo wazi.
Timu moja kutoka Afrika itavunja rekodi kwa kuingia nusu fainali na hivyo kuwa timu ya kwanza kufanya hivyo kwenye michuano hiyo.
Ebu pitia hapa kuona kikosi cha dunia kutoka Ubelgiji.
Magoalkeeper
Koen Casteels (Wolfsburg), Thibaut Courtois (Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool),
Mabeki
Toby Alderweireld (Tottenham Hotspur), Dedryck Boyata (Celtic), Laurent Ciman (Los Angeles FC), Christian Kabasele (Watford), Vincent Kompnay (Manchester City), Jordan Lukaku (Lazio), Thomas Meunier (Paris St-Germain), Thomas Vermaelen (Barcelona), Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur)

Viungo
Yannick Carrasco (Dalian Yifang), Kevin de Bruyne (Manchester City), Mousa Dembele (Tottenham Hotspur), Leander Dendoncker (Anderlecht), Marouane Fellaini (Manchester United), Eden Hazard (Chelsea), Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach), Adnan Januzaj (Real Sociedad), Dries Mertens (Napoli), Youri Tielemans (Monaco), Axel Witsel (Tianjin Quanjian)

Maforward
Michy Batshuayi (Chelsea), Christian Benteke (Crystal Palace), Nacer Chadli (West Brom), Romelu Lukaku (Manchester United)
Timu moja kutoka Africa itafanyaje....??[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Japan waliwekeza ,naona ushauri wa kocha wao wa zamani mbrazili Zico unafanya kazi ,hawa wako siku tutawaona fainali ya WC
Jurgen Klinsman kasema siku hizi huko japan viwanja vingi vya tennis wanavigeuza vya mpira wa miguu, unapata picha.
Huku tz pale jangwani tunatoa viwanja na kujenga lijumba ambalo linazuia hata maji ya mvua yasipite.
 
Jurgen Klinsman kasema siku hizi huko japan viwanja vingo vya tennis wanavigeuza vya mpira wa miguu, unapata picha.
Huku tz pale jangwani tunatoa viwanja na kujenga lijumba ambalo linazuia hata maji ya mvua yasipite.
Hahaha, Japan mpira ni sehemu ya Sera ya nchi ,waliofika Japan wanajua hili

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mi naomba FIFA wafanye Africa tuwe tunaenda World cup kwa zam zam maana wote wasindikizaji tu....Pengine na sisi tz zamu yetu itawadia...Miaka yote minne unajiandaa tu

Au Africa waigawe ni kubwa sana...Mambo yakibaki hivi sioni nafasi ya nchi yangu kusindikiza uko
 
Aiseeh nilikuwa napenda kwenda kuwacheki watoto wa Japan...Nywele zao nzur sana,zinavutia....hz timu zilizobaki mmhh!...labda kwa Latin Americans
 
Back
Top Bottom