Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 807
Kabisa.Wanangu wa Colombia kesho msiniangushe, tuwachape hao waongeaji kama wanawake wa uswahilini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Wanangu wa Colombia kesho msiniangushe, tuwachape hao waongeaji kama wanawake wa uswahilini...
Katoa assist ya kumalizia game, imempandisha kwenye kinyang'anyiro cha Golden BootHapa mfunga mahesabu atakuwa Lukaku
Mbele ya filmino, neymar, cotinyo, Willian, marsello, filipe Luis ..Kumbe
Duh!! Kiswahili kigumu...ulivyotiririka umenifanya hadi nimkumbuke ticha wangu wa kiswahili...barikiwe sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna wametumia tafsida tuu kusema kufa kiume,.imechukuliwa kama " kupambana" kujitoa kwelikweli pamoja na vikwazo vyoote hukubali mpaka kieleweke,.no kukata tamaa kirahisi rahisi,.ni maneno tuu ya kiswahili/uswahili[emoji16]
Eimeen,tupo pamoja,. Kiswahili kitam japo kigumu pia[emoji4]Duh!! Kiswahili kigumu...ulivyotiririka umenifanya hadi nimkumbuke ticha wangu wa kiswahili...barikiwe sana...
HahahaaaaAlijua japan atapita ili wakutane na brazil..naona atakuwa amechukia muno kwa ushindi wa belgium 😀
Ndo lugha yetu....hatuna budi kuipenda...Eimeen,tupo pamoja,. Kiswahili kitam japo kigumu pia[emoji4]
Mkuu leo si siku ya hazardous[emoji1] [emoji1]Mnasemaaaaa
Timu moja kutoka Africa itafanyaje....??[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Kama vitu vingine vinavyobadilika na mpira nao unabadilika kwa kasi,kombe la dunia mwaka huu tofauti na matarajio ya wengi kabisa linaenda kushuhudia mabingwa wapya kabisa timu ya Ubelgiji ikitwaa ubingwa huku vinara kadhaa kama Brazil, Ujerumani,Uingereza nk wakibaki midomo wazi.
Timu moja kutoka Afrika itavunja rekodi kwa kuingia nusu fainali na hivyo kuwa timu ya kwanza kufanya hivyo kwenye michuano hiyo.
Ebu pitia hapa kuona kikosi cha dunia kutoka Ubelgiji.
Magoalkeeper
Koen Casteels (Wolfsburg), Thibaut Courtois (Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool),
Mabeki
Toby Alderweireld (Tottenham Hotspur), Dedryck Boyata (Celtic), Laurent Ciman (Los Angeles FC), Christian Kabasele (Watford), Vincent Kompnay (Manchester City), Jordan Lukaku (Lazio), Thomas Meunier (Paris St-Germain), Thomas Vermaelen (Barcelona), Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur)
Viungo
Yannick Carrasco (Dalian Yifang), Kevin de Bruyne (Manchester City), Mousa Dembele (Tottenham Hotspur), Leander Dendoncker (Anderlecht), Marouane Fellaini (Manchester United), Eden Hazard (Chelsea), Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach), Adnan Januzaj (Real Sociedad), Dries Mertens (Napoli), Youri Tielemans (Monaco), Axel Witsel (Tianjin Quanjian)
Maforward
Michy Batshuayi (Chelsea), Christian Benteke (Crystal Palace), Nacer Chadli (West Brom), Romelu Lukaku (Manchester United)
Hata mimi sikutarajia kabisa kama ingekuwa hiviSikutarajia hii game kama ingekuwa na msisimko kiasi hichi.
Sijutii kupenda mpira wamiguu.
Jurgen Klinsman kasema siku hizi huko japan viwanja vingi vya tennis wanavigeuza vya mpira wa miguu, unapata picha.Japan waliwekeza ,naona ushauri wa kocha wao wa zamani mbrazili Zico unafanya kazi ,hawa wako siku tutawaona fainali ya WC
Hahaha, Japan mpira ni sehemu ya Sera ya nchi ,waliofika Japan wanajua hiliJurgen Klinsman kasema siku hizi huko japan viwanja vingo vya tennis wanavigeuza vya mpira wa miguu, unapata picha.
Huku tz pale jangwani tunatoa viwanja na kujenga lijumba ambalo linazuia hata maji ya mvua yasipite.
KabisaaaNdo lugha yetu....hatuna budi kuipenda...
Bora Belgium walivyowatoa vijitu vinakimba km visheti visumbufu kama nn pole sis karibu Brazil,France,Belgium hutojutaAiseeh nilikuwa napenda kwenda kuwacheki watoto wa Japan...Nywele zao nzur sana,zinavutia....hz timu zilizobaki mmhh!...labda kwa Latin Americans