Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Who ya got in this one?
Sijakuelewa , nilisema it was obvious columbia wali dominate midfield kwa uzembe wa England. Kwa njia hiyo walikata mawasiliano ya beki na fowadi ya England
England wakakaribisha mashambulizi

Columbia walijua England wana 'touch game' na njia rahisi ni kuwa frustrate
Hilo likafanikiwa kwa kuwafanya England wacheze kama wao. Hapo ndipo England walipopoteza network kabisa
 
Huyu refa n kama amemeza mpunga wa
Waingereza maana co Kwa kuwa beba huko
Aiseee

Huyu Refa kazoea kuchezesha mpira wa mademu huko Marekani . Ndio maana filimbi mtindo mmoja
 
Sijakuelewa , nilisema it was obvious columbia wali dominate midfield kwa uzembe wa England. Kwa njia hiyo walikata mawasiliano ya beki na fowadi ya England
England wakakaribisha mashambulizi

Columbia walijua England wana 'touch game' na njia rahisi ni kuwa frustrate
Hilo likafanikiwa kwa kuwafanya England wacheze kama wao. Hapo ndipo England walipopoteza network kabisa

Who ya got = who do you think will win?
 
Hawa nyau bora wafungwe tu tupunguze makelele
 
Hivi kwa nn uingereza walimuacha wilshare, timu haina mipango ila sio mbaya sisi wa colombia tunasubiria goli letu la pili.
 
Huyu peter Drury kashamficha john champion..sasa anamtafuta jim belgin, yupo vizuri sana huyu commentator
 
Back
Top Bottom