Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hail To the King, acheni unafiki wa kiswahili swahili.Umeshinda mkuu, harry kane ni bonge la straiker kombe la dunia hili, hamna mwingine ana magoli sita kafunga.
Ila kwangu mimi na yeyote anayejua mpira, straiker anayefunga magoli 4 na 3 kati ya hayo 4 ni ktk open play na yule anayefunga magoli 6 na 4 kati ya hayo sita ni penati na moja kati ya hayo sita ni deflection, kwa lugha nyingine kafunga goli moja tu ktk open play, kwangu yule wa goli tatu ni deadly zaidi.
"Hi is on top, looking for the golden booty"
Sio mimi hayo ni Maneno ya Mtangazaji mkongwe kutoka Visiwa vya Uingereza Kamarada Peter Drury