Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mm zimebaki mbili na zote zitafika final
Duh, mm ni Brazil tu,wakitoka na mm natoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, mm ni Brazil tu,wakitoka na mm natoka
anaweza kutoka asipokuwa makini, [emoji23] ,, brazil nliacha kushangilia 1998 tulipopigwa na france 3 kwa kalai
Imeshagoma mkuuSawa ngoja tuone.
Nadhani tupo pamoja.Uruguay akiwepo Cavan ndiyo Huwa anaforce sana akisaidiana na Luis SuarezNaona unajaribu kurithi mikoba ya Sheikh Yahya
belgium nao sio wabaya, wanaweza kuisimamisha dunia,, najua brazil timu pendwa kama ilivo englandDuh, mm ni Brazil tu,wakitoka na mm natoka
Wanakufa.mapemaNilijua tu hapa hkn Penalty
Mshuti wa moto uleeeeeeGoli kipa mzembe kabisa. Anafikiri hii ni rede
Yatawakuta yaliyowakuta Ujerumani na ArgentinaIle counter attack tuliyosema imewapa Ufaransa bao la pili
Bao hili linawafanya Uruguay wawe vulnerable kwani watakwenda mbele zaidi
Nguvu yao itakuwa kurudisha, kinyume chake hali itakuwa nzito
ule wa motoooo,Woooooooozeeeeerrrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] keeper bwana
Mwaka huu ni mwaka mzuri wa kuishabikia BrazilWe unachukua kombe ,Brazil tuko wote ila niliacha kuvaa jezi zao toka zile saba na German 2014