Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Tunamsikilizia brazil nwFrance tiali kafanya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamsikilizia brazil nwFrance tiali kafanya mambo
Haha mzee baba, ni meme tu za footballHaya mambo unayapatia wapi? Nielekeze na Mimi niyapate.
Weka zilizopoView attachment 803852
Usinichanie mkeka tafadhali
SawaWeka zilizopo
Mwifwa ulimfuata uyu jamaa?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bra-bra[emoji3]Hahahah
Uko upande upi hapo baadae?
Mi nikiweka tangu monile nw mkeka unapumua tuuu ila kuna mingine nilibadilisha kidogoSawa
Leo ntajikaza,japo nna kahoma kanan'tia ubaridii aagh[emoji22]Leo inabidi upate kahawa usije kuniacha kwenye mataa kama juzi
Hapana, nimeiona baada ya kufungua uzMwifwa ulimfuata uyu jamaa?
Weka zilizopo ila nusu ntaweka miujuza mingine kama ikitokeaHapana, nimeiona baada ya kufungua uz
Mimi mkeka wangu huo ni wa tangu tarehe 29 june, hadi sasa umechanika mara mbili tu kama unavyouonaMi nikiweka tangu monile nw mkeka unapumua tuuu ila kuna mingine nilibadilisha kidogo
Cha SAA 3 [emoji3]???mumu njoo tubet
ndo maana akeCha SAA 3 [emoji3]???
If you are hit in your right shoulder, you cannot be crying in pain holding your left cheek....hahahahaHaha mzee baba, ni meme tu za football
Tushapoa mkuuPoleni sana wakuu
Uruguay wanatia uvivu hata ku-highlight movements zao leo uwanjani. You can see their team jerseys, inatosha kung'amua uzembe wa Taifa hili achilia mbali uzembe wa goal keeper.! Yan designer wa jersey zao alifanya kuazima referees jersey, ku-print names na namba ya mchezaji. Ivyo tuu. What a nation?!Huyu nyanda alitaka kudaka au kukwrpa?
Pole aiseeLeo ntajikaza,japo nna kahoma kanan'tia ubaridii aagh[emoji22]
'Sante neibaPole aisee
Haya,.weka daundo maana ake