1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
mkuu pole sana, aiseeh,,Hahahaha haya twende zetu Brazil, kajipange upywa
ila tumeinjoy football
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu pole sana, aiseeh,,Hahahaha haya twende zetu Brazil, kajipange upywa
Hahaha EPL niko Liverpool fc MkuuBora uache tu, maana timu yako (Arsenal) haina mchezaji hata mmoja kwenye haya mashindano.
Na wewe pia mkuuUsiku mwema bro
Mhuu...neiba acha tuu,.Ulala salama. Kuna hati hati ya kuota Brazil wamedroo [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
poleImeniuma sana
Limebaki ulaya tayari.Wacha tumalizane na Brazil Chief, hao hawatufai tena.
Tuhamie wapi jirani maana hali ni teteMhuu...neiba acha tuu,.
Anadeka sana huyu dogo aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 803981 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa kinachoonekana kwenye kombe la Dunia hii ni kutaraji usichokitarajia.France timu imekamilika ile hata mbappe asipofunga mwingine atafunga pia kijana ndo kwanza 19yrs old
Haa haa haa aiseee ww n kama mmYaani dakika ya 92 mtu ndio anafanyiwa sub ? Mi ndio kama mchezaji kocha ananiambia niingie mida hiyo mi siingii. Yaani dakika 90 zote ukuniona ndio unaniona sasa hivi ?
ExactlyKikubwa kinachoonekana kwenye kombe la Dunia hii ni kutaraji usichokitarajia.