BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Pole sana Mheshimiwa, ila Belgium nayo kwa uchezaji aliyocheza leo akikutana na France atafungwa.
Belgium wako vizuri pale kati mbele...defences yao taabani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mheshimiwa, ila Belgium nayo kwa uchezaji aliyocheza leo akikutana na France atafungwa.
Hivi kuna mtu aliwazia kama Brazil hii inaweza kumfunga Belgium?
Bado cha mdomo Uingereza kesho
nliwaambia mashabiki wa brazili waweke akiba ya maneno ,, hawakuelewa
Neyma kakosa jamani
Ubelgiji walopaki basi kiaina
Neymar ana miaka mingapi wadau?
HIZI NDIZO NCHI ZILIZO FUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2018
- Ujerumani
- Argentina
- Iceland
- Ubelgiji
- Colombia
- Costarica
- England
- Misri
- Iran
- Japan
- Mexico
- Nigeria
- Panama
- Poland
- Saudi Arabia
- Korea Kusini *Uhispania Na Uruguay
Mie Leo sisikitiki Kwa ajili ya Costa Wala nani,leo Kwa kweli Brazil imekula kwetu,ila nimemmiss sana Leo CasemiroYule Paulinho kapoteza nafasi nyingi sana aisee .....costa mnyama angeanza tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi
.If you are hit in your right shoulder, you cannot be crying in pain holding your left cheek....hahahaha
Nipo England keshoPole dada...tafuta timu nyingine ya kushabikia! 😀
Ewaaaaaaaa
Mwambie basi mshikaji wako anilipe ile hela ya bet yetu (Brazil anafungwa), nikurushie ile 10%
Jumamosi inaingia sasa watu tuchomekee kabisa
Naliona kombe linabaki rashia...
Ubelgiji wamenifanya niikimbie Jf Kwa muda.Brazil yangu Leo sijui imekuaje.Anyway Ubelgiji wamedeserve Ushindi .Huenda wakawa mabingwa.
Pole dada...tafuta timu nyingine ya kushabikia! 😀
Kwani alikubali kuhusu mahela