DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,533
- 2,709
Croatia ndio itakuwa mwisho wa England, hizi dodging za FIFA ndio zitafikia ukingoni
Hutaamini Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Croatia ndio itakuwa mwisho wa England, hizi dodging za FIFA ndio zitafikia ukingoni
Hawa wote hawakutakiwa wawe hapa, wamefika hapa kwa matokeo mabovu ya upangaji wa ratiba.Mlitaka Sweden ikutane na timu gani?
Ngapi ngapi?
Eng 1 - 0 Swed.Ngapi ngapi?
kwani Croatia amepita?? acha kukariri bro Spain katolewa Russia rememberCroatia ndio itakuwa mwisho wa England, hizi dodging za FIFA ndio zitafikia ukingoni
waooMoja bila England anaongoza
waoo
[emoji41][emoji41][emoji41]imekaa poa hiyo Mkuu, vipi bado unahisi c. Ronaldo anastahili baroon d'or misimu miwili ijayo?Mbappe nimemtaja nimemwakiliksha kwa akiongeza juhudi atafika mbali. Kiuhalisia bado kijana anasafari ndefu. Argentina haikuwa na beki nzuri ilkuwa haki yake kuinyayasa na mbio zake zile damn jamaa ni Usain Bolt wa kwenye mpira.
Sio makosa ya FIFA bali ni makosa ya Italy kutokufuzuHawa wote hawakutakiwa wawe hapa, wamefika hapa kwa matokeo mabovu ya upangaji wa ratiba.
Rudia tena mkuuEngland wanarudia kosa walilofanya na Columbia. Ukiangalia utaona wameanza kuua midfield, inarudi nyuma kulinda