Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri umeshamtupa kwa sasa hawezi.[emoji41][emoji41][emoji41]imekaa poa hiyo Mkuu, vipi bado unahisi c. Ronaldo anastahili baroon d'or misimu miwili ijayo?
mimi siamini katika kitu kinachoitwa easy games hasa katika katika mashindano makubwa kama hayaTaja game ngumu England aliyokutana nayo.
It's coming home....
Na ndio maana mpira unaonekana kupooza, coz Sweden hawaonyeshi ushindani wa maana, ni kama wamezidiwa.Licha ya mpira mbovu lakini bado watoto wa malikia wanaweza pita hapa, ukiangalia na kasi ya Sweden hairidhishi kabisaa
Ulikimbia janaTayariiiiiii
Magoli yote copy and paste ni mwendo wa jaro. Bora nisingeangalia mpira, manake nachat tu.
Mkuu kumbe na wewe ni Team God Save The Queen
Dah kipa kaokoa jahazi
Rojadirecta then chagua channelLeo sipo kwenye mazingira mazuri ya kuweza kuona mpira. Mwenye link tafadhali naomba.
Ulimwengu wa soka unajulikana ijapokuwa unabadilika badilika. Mathalani sisi Afrika tumeshiriki lakini tulichokifanya ni kipi? Senegal akikutana na Belgium bila shaka matokeo unayajua ni yapi. England amekutana na timu zenye ushindani mdogomimi siamini katika kitu kinachoitwa easy games hasa katika katika mashindano makubwa kama haya
View attachment 804556
Huu mkeka ni wa tangu june 29, hapa nauangalia tu jinsi unavyopumua.
NB: Fainali nitakuwa France au Belgium.
Nawashangaa sana hawa Sweden leo sijui wakoje,Delle Ali anaipa Eng. goli la pili
Na ndio maana mpira unaonekana kupooza, coz Sweden hawaonyeshi ushindani wa maana, ni kama wamezidiwa.
Tusubiri tu mkuu chochote kitakachotokeaNinakupa pole In Advance maana unajua kitachotokea kwenye final
Naona mkeka unasoma vyema hapo
Mkuu hata mimi nawashangaa, utadhani wao ndio wanaongoza.Nawashangaa sana hawa Sweden leo sijui wakoje,
Hata hivyo ninachokiona hawa England wanacheza kulingana na kasi ya timu pinzani.
Ukiangalia walivyocheza na Colombia ni tofauti kabisa na leo kutokana na uchezaji wa Sweden wa kuzuia zaidi.
sawaUlimwengu wa soka unajulikana ijapokuwa unabadilika badilika. Mathalani sisi Afrika tumeshiriki lakini tulichokifanya ni kipi? Senegal akikutana na Belgium bila shaka matokeo unayajua ni yapi. England amekutana na timu zenye ushindani mdogo