koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Kane leo hajawa na ubora wakeEngland wametambua Waswidish ni warefu na mipira ya kona inaishia kuokolewa, wanatumia mipira ya kati kupenya, hilo limewapa nafasi za kupenya. Tatizo ni kukosa kiongozi pale mbele
Harry Kane haonekani kuwa na impact
koncho77 narudia tena kusema, England wanafanya kosa kuanza kulinda kwa kuua kiungo