Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

England wametambua Waswidish ni warefu na mipira ya kona inaishia kuokolewa, wanatumia mipira ya kati kupenya, hilo limewapa nafasi za kupenya. Tatizo ni kukosa kiongozi pale mbele

Harry Kane haonekani kuwa na impact
koncho77 narudia tena kusema, England wanafanya kosa kuanza kulinda kwa kuua kiungo
Kane leo hajawa na ubora wake
 
Kenny hana msaidizi pale mbele, Ally na Starlling wapo chini ya kiwango leo.
Na hivyo Kenny anapotea leo.
 
Kocha Gareth aliwasoma Sweden vizuri, kajaza viungo na kuwazuia kushambulia

Forward ya England imekosa uongozi wa Kane. Beki imecheza vizuri

Sterling wa England ni mzigo, Gareth aangalie namna ya kuutua. Kane hakuwa na impact
 
Haya England weshapita.
Ngoja tuone mechi ya baadae naamini itakuwa ni mechi kali zaidi team zote zinacheza kitimu zaidi bila kutegemea mtu mmoja mmoja.
Nadhani tutegemee mchezo mzuri sana hapo baadae tuone ni nani ataenda nyumbani.
 
Toka mwaka 1990 pale Italy tulipotolewa na Germany ya Bert votigs ambayo ilikuja kunyakua kombe hatukuwahi kucheza nusu fainali mpaka hii leo. Hongereni mashabiki wa the three lions kwa kuiamini na kujivunia timu yetu. Siku zote husema tikiti bovu limo shambani mwako watuachie na timu yetu ya magazeti.
 
Back
Top Bottom