squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Ulikuwa wapi siku zote?Akhui shukurani kwa kutuamini na kututakia mema nusu fainali hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa wapi siku zote?Akhui shukurani kwa kutuamini na kututakia mema nusu fainali hiyo
Ulikuwa na matokeo penye pochi? Safi sana shunie kwa kuujua ukweli.
freddie ljungberg, Gud johnsen, Larson na wengineo, hii ndiyo ilikuwa Sweden yenye afya kuliko hii Siku hizi na tangu the giant astaafu Sweden imeisha. Bado England sio timu akikutana na timu kama France au Belgium hata Croatia tu uangalie kitakachomtokea. Group lake lilikuwa mteremko.Game over, thank you England for not turning me down.
Njia alizopita Mrusi naamini England asingetoboa.Mkuu unawapenda England sawa, lakini na hii boring game ndio unategemea watabeba World Cup? Hatua waliyofikia mbeleko hasaidii tena
freddie ljungberg, Gud johnsen, Larson na wengineo, hii ndiyo ilikuwa Sweden yenye afya kuliko hii Siku hizi na tangu the giant astaafu Sweden imeisha. Bado England sio timu akikutana na timu kama France au Belgium hata Croatia tu uangalie kitakachomtokea. Group lake lilikuwa mteremko.
Unakumbuka 2010 world cup England alikutana na Algeria na England wakapoteana kwa mpira wao wa kukariri? Wakatoka bilabila?
Akhui shukurani kwa kutuamini na kututakia mema nusu fainali hiyo
Nnaona leo nguvu hazijakuisha.Eenh nilikuwa nayo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na kombe linaenda England sema watu watabisha
Nnaona leo nguvu hazijakuisha.
Hongera kwa ushindi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asante jamani nguvu leo hazijaisha kabisa
Kwahiyo baadae unakalia mkeka upi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asante jamani nguvu leo hazijaisha kabisa
Bado mechi mbili tuu, mbili tuu watu wanyanyue kombe lao
Hongera sana vijana wa England
Football is coming HOME
Tutoleeni zilipendwa hapa. Hao Algeria hata kufuzu hawaja fuzu.freddie ljungberg, Gud johnsen, Larson na wengineo, hii ndiyo ilikuwa Sweden yenye afya kuliko hii Siku hizi na tangu the giant astaafu Sweden imeisha. Bado England sio timu akikutana na timu kama France au Belgium hata Croatia tu uangalie kitakachomtokea. Group lake lilikuwa mteremko.
Unakumbuka 2010 world cup England alikutana na Algeria na England wakapoteana kwa mpira wao wa kukariri? Wakatoka bilabila?
Safari hii tumeamua kukaa kimyaa, ndoo tunabebaa kimyakimyaToka mwaka 1990 pale Italy tulipotolewa na Germany ya Bert votigs ambayo ilikuja kunyakua kombe hatukuwahi kucheza nusu fainali mpaka hii leo. Hongereni mashabiki wa the three lions kwa kuiamini na kujivunia timu yetu. Siku zote husema tikiti bovu limo shambani mwako watuachie na timu yetu ya magazeti.
Apo ulipatia moja tu ..hongera!Mwisho wa Juma Ikangaa"Mbappe"na mambio mambio yake ni leo
Giminez,Laxalt,Godin na Ceceres huwezi pata nafasi hiyo ya kukimbia kimbia!
Mwisho wa huyu anaye ng'ang'ania sana jabulani kama ni ice cream Neymar pia ni leo
Belgium hawawez shindwa vikongwe Brazil,beki mwenye umri mdogo anaye anza ana 30!
Uruguay na Belgium watapita!!
Njia alizopita Mrusi naamini England asingetoboa.
Hahahaha natumai ulilia sana.Hello.
Bila shaka mko poa. Ni masaa machache yaliyobaki hapo saa 3:00 usiku Brazil kutupa raha tunayoitegemea siku ya leo.(BRA vs BEL)
Mamilion ya watu tuna hamu sana,kuona brazil wakifanya yao, na nina imani brazil watafanya vizuri iwapo watazingatia haya machache.
1: Ni lazima wapate goli la kwanza ndani ya dk 15 za mwanzoni ikishindikana basi kipindi cha kwanza tuwe na goli.
2: ni lazima wakabe mwanzo mwisho, wawe makini na makosa ya kizembe eg. Wasiruhusu penalty kwa mpinzani. Hii ni mbaya sana.
3: wasiruhusu mpira uchezwe dk 120 hii sio salama hata kidogo.
4: sina shaka na Neyma na team mzima, brazil ya sasa ni bora kuliko ya 2014,nina imani nao, la muhimu, wacheze ki- team. sio lazima Neyma afunge yeye anaweza kuwa sababu ya mwenzake kufunga hiki ndicho cha muhimu.tunachokitaka ni ushindi.
# leo ni siku mbaya kwangu nina wasiwasi sijiamini. Lolote la kutokea nitaumia/nitalia sana. Mungu atasimama upande wangu.wapinzani wangu wote wanasubiri muda ufike ee mungu simama upande wangu.
Matokeo:
Kipindi cha kwanza dk ya 11 bra 1- 0 bel
Kipindi cha pili dk ya 54 bra2- 0bel.
Kipind cha pili dk ya 87- bra 2-1bel
Dakika za nyongeza zitakua 4/5 bra 3-1 bel.
Mchezo kwishaaaa
Hii ndiyo raha ninayoitegemea leo.
Kama una cha kuchangia karibu.
All the best Brazil.
Uingereza soka limekua wala sio upendeleo!