Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia anakuja kukutana na England finally hawa jamaa wana bifu za kisiasa kati ya mzee Putin na Bi T. May Haha patamu hapoRussia hawezi kumfunga Croatia
Hapa niponipo tu hakuna mkeka wowoteKwahiyo baadae unakalia mkeka upi?
Ni hatari sana huyu aiseee!Dennis Cheryshev madrid walikuwa nae huyu jamaa wakamtoaga mkopo nafikiri
Kweli chief, lakini ngoja kwanza game iishe, bado siamini kama Russia wameshavuka, japo nwaona Croatia wamepanic, kitu ambacho ni hatari kwaoRussia anakuja kukutana na England finally hawa jamaa wana bifu za kisiasa kati ya mzee Putin na Bi T. May Haha patamu hapo
Karibu CroatiaHapa niponipo tu hakuna mkeka wowote
Wamesha fanya yao ila siamin kama Russia watatokaKweli chief, lakini ngoja kwanza game iishe, bado siamini kama Russia wameshavuka, japo nwaona Croatia wamepanic, kitu ambacho ni hatari kwao
Karibu Croatia
Russia wanaaga leoWamesha fanya yao ila siamin kama Russia watatoka