Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

images

tujikumbushe muasisi wa goli la mkono.Huyu jamaa sijui kama anaweza pewa viza ya UK maana kwa alichowafanyaga...
Nafikiri waingereza wanatumia hili goli kama garasa, kinachowauma ni lile goli la pili kuwapiga vyenga mpaka kambani. Ni aibu amayedai muasisi wa soka kuaibishwa namna ile. Khee kheeeee kheeeeeee.
 
Nafikiri waingereza wanatumia hili goli kama garasa, kinachowauma ni lile goli la pili kuwapiga vyenga mpaka kambani. Ni aibu amayedai muasisi wa soka kuaibishwa namna ile. Khee kheeeee kheeeeeee.
Siku zote goli la kwanza ndio linalokuvunja nguvu na kumpa confidence mpinzani wako.
 
Ila nimefurahia fair play ya mashabiki rasmi (Rais wa Croatia na Waziri Mkuu wa Russia), kila mmoja kampongeza mwenzake kila timu ilipopata goli. Wameonyesha uanamichezo wa hali ya juu. FIFA iwape zawadi kwa hili kama spirit hii itaendelea mpaka mwisho wa mchezo.
Hata mimi nimependa, ndio maana halisi ya michezo
 
Back
Top Bottom