Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Chochote kinaweza kikatokea. Lakini England kwa Croatia kazi anayo.England inaingia fainali lakini kibishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chochote kinaweza kikatokea. Lakini England kwa Croatia kazi anayo.England inaingia fainali lakini kibishi
Hata mimi nilitamani wenyeji wabaki japo mpira wao haukuwa mzuri kivileIliniuma sana Russia kuondolewa jana
Sahihi kabisa watu wamekariri vibayaKuna watu wanachuki tu. Wanaojua mpira walishaiona England na wakatabiri ikikwama. Ni nusu fainali, na leo iko nusu fainali.
England ya mwaka huu tofauti na miaka yote,haina pressure za media wala wananchi
Hujui mpira hata kidogo.Kwani uongo? England siyo timu ya magazeti? Unafuatilia mpira kweli? Halafu Hamna mtu mwenye chuki na England, wanachozungumzia watu ndiyo uhalisia huo England hajui mpira. Unajua kwenye mpira ili ufanikiwe kwenye hatua ya makundi kuna haya, uwezo wako, uwezo wa timu pinzani na kundi ulipo likoje? Unajua ni kwa nini Portugal ilipotoka 3-3 na Hispania walishangilia akina Ronaldo? Ni kwa sababu ya kundi walilopo in kundi lenye upinzani mkubwa. Hiyo hali linganisha kwa England majibu utayapata mwenyewe.
Kwanza kuna baadhi ya match zikichezwa unasema kabisa dahhh!!! Leo shughuli ipo. Hiyo hali ilitokea kwa England leo shughuli ipo? Kundi alilipo England ndilo lililombeba akafikia hii hatua tunayozungumzia. Hata Mpira wao ukiutizama unajua kabisa hawa England wakikutana na timu heavy watapoteana uwanjani.
Mkuu Russia mpaka kufika hapo wamejitahidi sana,hata hivyo hawakutolewa kizembe.Iliniuma sana Russia kuondolewa jana
AgreedFinal ni Belgium na Croatia muda utaongea.
Sawa Mheshimiwa nimekuelewa. Nakutakia siku njema.Hujui mpira hata kidogo.
Mimi tangu utoto wangu nasapot England. Unaposema England ni team ya magazeti unamaanisha nini ? Niambie ni team ipi duniani haiandikwi na magazeti yao. Issue ni nyie kufuatilia vyombo vya habari vya england. Kwanini msifuatilie magazeti ya spain au france anadhani huko hakuna magazeti?? Spain kuna gazeti kuna la michezo linaita Macca, France lipo pia linaloitwa Le Elquipe na German lipo Bild. Sasa si muende kuyasoma hayo magazeti na mtuachie Daily Mail,The Sun na magazeti mengine mengi kutoka kisiwani kwetu.
Issue ni kwamba kwenye mpira wa miguu vyombo vya habari vyenye nguvu duniani vipo uingereza ndio maana hata hawa wakina edo na shaffih dauda taarifa zao ni copy and paste kutoka sky sports,BT sports, BBC au Magazeti lukuki ya huko.
Halafu suala la sisi kuwa kundi jepesi huo ni ujinga. German alitolewa na Korea kusini ambae alikuwa ameshaaga mashindano.
Naona mnazidi kuhamisha magoli. Mlianza timu haitavuka makundi, ikavuka. Mkaja kusema haitafuzu 16 bora,ikafuzu. Mkasema haifika robo, ikafika. Mkasema haigusi nusu , imetusua. Hivi hamuoni aibu nyie wanafiki na wazandiki,wachawi wakubwa????
Mtu mzima unakuja na hoja eti england alikuwa kundi jepesi, ila hamsemi Belgium kuwa na yeye alikuwa kundi hilohilo. Belgium wala hamumzungumzii.
Halafu wengi wenu ni wajinga na hamna exposure ya mpira. Mwaka 2002 unajua kuwa brazili alikuwa kundi moja na china?? Mbona hamsemi alikuwa kundi bovu. Acheni utaahaira. Mpira wa sasa hauna mambo ya historia na majina. Mlitegemea timu zenu za Brazil, Argentina,ureno, Spain au German zingefuzu na kutamalaki hatua ya nane bora. Mambo hayakp hivyo.
Tukutane nusu fainali.
Belgium ataaga kwa mfaransa
Mkuu Russia mpaka kufika hapo wamejitahidi sana,hata hivyo hawakutolewa kizembe.
France fainali inamuhusu
Atazuiliwa na mcroatiaEngland inaingia fainali lakini kibishi
Kwa sauti ya Oscar Oscar kule supersport 14![emoji28][emoji28][emoji28]Kabisa 😀😀😀
Kwa sauti ya Oscar Oscar kule supersport 14![emoji28][emoji28][emoji28]
Croatia anapigwa kasimamaChochote kinaweza kikatokea. Lakini England kwa Croatia kazi anayo.
POLE SANA AISEECroatia anapigwa kasimama