Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Vikosi vya leo kati France na Belgium vina thamani kwa mujibu wa mdau huyu hapa chini.
Screenshot_20180710-121823.jpeg
 
Mimi niko na mkoloni wangu wa zamani..
[HASHTAG]#teamEngland[/HASHTAG]

Hata ingekuwa ni sisi Tanzania(tukaqualify kucheza WC)
tungeongea hadi majirani kama Kenya wakafunga mipaka
 
Mtazamo wangu kwa WC

1. Mexico wangeweza kuwazua Brazil. Nchi za Latin America zinajuana
Kwa bahati mbaya wacheza walikuwa na hofu wakisubiri itokee kama ilivyokuwa kwa Germany warudi kulinda goli. Walitegemea penaliti kuitoa Brazil, mbinu haikufanya kazi

2. Belgium ni timu nzuri. Kilichowatia kiwewe ni speed ya Japan wakikaribia goli
Walibadili mchezo na kwenda kasi. Japan walifanya makosa.
Kucheza na timu kama Belgium ukalinda magoli ni kukaribisha matatizo.imewagharimu

3. Uingereza wanategemea kuwafunga Colombia. Watafanya kosa kama hawatatambua Colombia inatoka Amerika kusini. Mpira wa cross unaweza kuwagharimu.
Wakifungwa moja tu, kurudisha itakuwa mbinde kama si kutoka

4. Sweden ni timu nzuri sana inategemewa kuwafunga Swiss kesho. Hili halina mjadala

Timu ninazodhani zitakazosonga mbele katika 4 bora
Uruguay , Croatia , Brazil, Sweden
Baba hongera kwa utabiri wako uliotukuka[emoji16]
 
Leo ndio Leo Mtoto Hatumwi Gengeni, Ni Nusu Fainali ya kwanza ya WORLD CUP ambapo FRANCE anakipiga na BELGIUM. VARANE, na UMTITI wataweza Kuwazuia HAZARD na DE BRUYNE? Au ALDERWEIRD na KOMPANY wataweza Kuzima Moto wa MBAPPE? Nani Atashinda nani atarudi nyumbani?
 
Back
Top Bottom