Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Usajili wa msimu ujao siwapatii picha hawa (debrune, mbape, hazard, neymar n.k) kwa Madrid wazee wa kukwapua wachezaji, yaan nyie mnakaa mezani Mzee mzima Perez anatuma tu sms, mtu yupo london anaenda France au German wahuni wananamwanbia rubani pitisha hio nyama hapa bernabou Na msg ya M pesa imethibitishwa,
 
Huyu Henry na ndevu zake mi namuona fix tu. Pale alipo anaombea matokeo yawe hayahaya
 
kinachotokea leo kwa henry ni sawa wewe upo Man U ila umebet liver anashinda. Yan huna cha kupoteza cha zaid umeokoa maumivu ya moyo
 
Niulize vipi Teri Henry sioo raia WA ufarance maana namuona kwemye bench lá ubelgiji.
 
Hazard anataka kufanya kama alichofanya messi mwishowe argentina wakafeli

Mipira akipewa haachii
 
Mi naonaga Madrid kama wazee wa black deal kama wauza unga, yan perez usajili wake wowote lazma uwe na fitna ndo furaha yake. Huyu Nzonzi anafanana sana na Anelka, au macho yangu?
 
Back
Top Bottom