Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Lakini hana mipango
Raheem ana speed kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raheem ana speed kali
Ety kubebwa mbele.Kubebwa kwa mbele mtumishi baba swalehe,.
best leo uko wapi?Aah,.wewe msalimie vicky na kakake buana,..ntakupa majibu asbh,.
Anaspeed ila mwambia tabia yakukimbia anabinua kiuno aache..yaan kawaambukiza wachezaje wenzake ako katabiaRaheem ana speed kali
kanchefua nmezma tvAnaspeed ila mwambia tabia yakukimbia anabinua kiuno aache..yaan kawaambukiza wachezaje wenzake ako katabia
mwanao ana itkad za kishoga ana binua binua makalioWasiniumizie mwanangu Raheem plz
England bestbest leo uko wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16]Ety kubebwa mbele.
wana bambiana bambiana na kipaHawa Watoto wa Malkia waafanya ujinga golini
Harry Kane kazingua amekosa nafasi ya waziLeo ashley young namuona mpira unamkataa hayupo vizur
Mchoyo, angetoa pasi kwa sterling!Harry Kane kazingua amekosa nafasi ya wazi
Kane mzito snaKane aache uchoyo, hiyo aliyokosa amgemsogezea sterling alikuwa mafasi nzuri ya kufunga peke yake.