chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
Oyoooooooo cheers kwa wana Croatia wote tusherekee pamoja jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakaa!we ulikua kwa malkia!?Nimeyapokea matokeo kiroho Safi ilikuwa safari ndefu pongezi kwa vijana na pia mashabiki wote wa the three lions safari yetu imeishia hapa pia hongereni mashabiki wa Croatia kwa kucheza fainali kwa mara ya kwanza.
Cheers.....!!!!!!!!!!!!!!!! HalaaaaaaaOyoooooooo cheers kwa wana Croatia wote tusherekee pamoja jamani
Mnatupigia keleleeeeeeeeeee it's coming home, shenzy typeeeeeeeeeeee
Sana aaaaaa!I wish Croatia wawe mabingwaNafasi ya tatu sasa nitawasapoti england! Wangeingia fainali dunia isingetosha!
Napenda kuwe na bingwa mpya wa kombe hili.
Croatia awe bingwa!
Croatia sio wa kuchezea kabisa mkuu, ni wapambanaji haswaaa, ndicho ninachowapendea, wana discipline ya hali ya juu.Hawa wa Croatia sio watu wazuri,,yaani wamecheza 120 karibu hatua zote za mtoano