Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ila tuseme ukweli ni Mpuuzi pekee ndiye anaweza kufikiri kuwa England wana timu ya kurudi na Kombe London.

Na tena huyo mpuuzi awe amekomaa sana kwenye upuuzi.
 
Walipita kwa Bahati wala hakuna mpira wowote walionao.

Na wanajidai wana hasira watakutana na mwenye hasira vizuri Jumamosi. (Belgium)
Unaichukia England halafu ligi yao unaishabikia.. Croatia timu imejaa wazungu tu haina mchezaji mweusi hata mmoja wabaguzi wakubwa wa rangi...nyambaf
 
20180712_005123.png
mandzukic sio mtu mzuri! Mcheki Pickford hapo.
 
mjnga sana huyu jmaa et na kihere here kumquote hata wanawake wa jf cjawah skia wakiongea huu upuuz wa bwana radika kanikera sana
Hahahaha sasa wewe ukikereka acount yangu inafutika? Nikuulize nimeku quote mimi wewe? Si wewe ndo umeleta ligi zako kwamba mnochagulie timu ya kushangilia kwamba ningekuwa crotia ni mjanja aisee ndo mana nimeona ajabu sana
 
Unaichukia England halafu ligi yao unaishabikia.. Croatia timu imejaa wazungu tu haina mchezaji mweusi hata mmoja wabaguzi wakubwa wa rangi...nyambaf
Kushabikia ligi hakunifanyi niwe upande wa timu ya taifa ya Wiingereza ila kama ulikuwa unaishabikia kuwa kuna ngozi nyeusi mle basi tambua kuwa kiwango chako cha kufikiri ni kidogo sana na unaweza kupata hata ujinga huko mbeleni kama hautakuwa unatumia vyema akili yako kuwaza kabla ya kuamua.
 
Hahahaha sasa wewe ukikereka acount yangu inafutika? Nikuulize nimeku quote mimi wewe? Si wewe ndo umeleta ligi zako kwamba mnochagulie timu ya kushangilia kwamba ningekuwa crotia ni mjanja aisee ndo mana nimeona ajabu sana
!
 
Aisee leo nimekutana na kitu cha ajabu sana kwamba mtu akishangilia timu fulani nzuri ndo ana akili na tanzania
 
Pengine alishawahi kupata brain damage huwezi jua. Hata the way anavyo reason anaacha maswali mengi.

Usiku mwema kiongozi.
ajabu sna hii narudia hapa nchini kuna vichaa mzee huwezi kumchagulia mtu timu ya kushabikia halafu ukamuona hana akili

Wewe ndo utakuwa na matatizo kwenye ubongo jambo la ajabu sana hili aiseee hii mpya
 
Back
Top Bottom