Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Belgium tulistahili kucheza fainali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mtupu!![emoji23] [emoji23]England ndio mshindi wa nne wa michuano hii hata kabla ya mechi kuanza [emoji23][emoji23][emoji23]
FIFA 2 channel ya kiswahili sipati hapa, ni Ss channel no. ngapi?
Shukrani, nawapata vyema sana hapa!Channel ya kiswahili SS ni 214 akina Kitenge na wenzie.
Shukrani, nawapata vyema sana hapa!
Naipata Clear .. sioni tofauti!Karibu.
Ila quality ya picha mbaya sana,kwanini usiangalie SS3?
Pre season arsenal 5 mechi inaendelea.
Hatari sanaaaa! Sema mechi ya leo rahisi sanaArsenal ya mwaka huu ni motrooooo.
Umeona eeehWakiendelea kucheza hivi kuna hatari mtu akipigwa mabao zaidi ya mawili.